Wednesday, July 27, 2016

New Music Audio: Professor Jay ft Sholo Mwamba - Kazi Kazi | Listen and Download Free

Akiwa ni mwanasiasa kwa sasa lakini kwa kuwa Jasiri haachi asili, msanii Professor Jay ameamua kuendelea kutupa ladha.
Safari hii amemtafuta jamaa ambaye ni mtaalamu wa nyimbo za Singeli, Sholo Mwamba na wametuletea wimbo unaokwenda kwa jina la Kazi Kazi...

Sikiliza na kisha uache maoni yako pale chini kuhusu wimbo huu.

No comments:

Post a Comment