Sunday, July 24, 2016

New Mp3 Audio: 20% - Sitoi | Listen and Download at http://www.mgonanziphotographer.tk/

Mshindi wa tuzo tano za muziki za Kilimanjaro 2011, Abbas Kinzasa ‘Twenty Percent’ amesema ameamua kurudi kwa producer wake John Shariza, maarufu kwa jina la Man Walter ili kuwaburudisha mashabiki ambao wanahisi kuna kitu wanakosa. Na huu ndio Ujio wake Mpya (SITOI)Msikilize na Uache Comment

No comments:

Post a Comment