Tuesday, July 26, 2016

New Music Audio: Kala Jeremiah ft Miriam Chirwa - Wana Ndoto | Listen and Download Free


Kupitia Redio na Tv msanii wa muziki wa kizazi kipya kwenye miondoko ya HipHop Kala Jeremiah aliahidi kutuletea wimbo mpya aliyomshirikisha mtoto ambaye tumezoea kumsikia kwenye nyimbo za dini Miriam Chirwa, Sasa ahadi ya Kala imekamilika na tayari wimbo huo hapo chini unaitwa Wana Ndoto.

Sikiliza na sema lolote kwa kuacha maoni yako pale chini...

No comments:

Post a Comment