Sunday, July 24, 2016

Mbunge Professor Jay kuvunja ukimya BongoFlevani

Msanii wa Bongofleva na Mbunge wa jimbo la Mikumi, Joseph Haule aka Professor Jay anataraji kuvunja ukimya wa muda mrefu baada ya kuachia single yake mpya iitwayo Kazi Kazi aliyomshirikisha Sholo Mwamba.
Professor Jay anasema…>>>>>’Napenda kuwakaribisha mashabiki wangu wakae tayari kwa kuupokea wimbo wangu mpya uitwao Kazi Kazi niliyomshirikisha Sholo Mwamba, maana ya Kazi Kazi kuwaambia watu walikata tamaa kitu kinachoweza kuwasaidia maishani ni kufanya kazi kwa bidii’

No comments:

Post a Comment