Sunday, July 24, 2016

Video: Pale ambapo Wolper amerejea Ccm na kummwagia sifa Rais mstaafu " Jakaya Mrisho Kikwete "

Katika uchaguzi mkuu uliopita 2015, msanii wa Bongo Movie Jacqueline Wolper alikuwa akimuunga mkono mgombea urais wa CHADEMA Edward Lowassa ambaye alikuwa anaungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) ila kwa sasa ameamua kurudi CCM.

Tizama video akizungumza baada ya kurudi...

No comments:

Post a Comment