Monday, January 30, 2017

Kutana na Mfungwa aliyefaulu Shule Gerezani na sasa atakwenda chuo kikuu London

Inatokea kwenye gereza la Naivasha Kenya ambapo Mfungwa Michael Kahiga ni miongoni mwa Wafungwa wachache watakaojiunga na chuo kikuu kutokana na jitihada zake za kujisomea kwa bidii chini ya Mwalimu wake pia ambaye pia ni Mfungwa wa kifungo cha maisha.
Kwenye gereza hilo la Naivasha kuna Liblary ambayo ina vitabu mbalimbali ambapo Michael anasema pamoja na yeye kufaulu kwenda chuo kikuu, kwenye kusoma kwake akiwa gerezani bado hakuwa na Waalimu ambao wamekidhi vigezo.
Michael anatumikia kifungo cha miaka mitano baada ya kukutwa na hatia ya wizi ambapo baada ya kumaliza kifungo chake, atajiunga na chuo kikuu cha London Uingereza ambacho kimempa nafasi ya kusoma bure kwenye chuo hicho baada ya kufaulu vizuri kwenye mtihani wa kitaifa gerezani.
Kwa mujibu wa K 24 Kenya, kwenye mtihani aliofaulu Michael ni Wanafunzi 141 walipata A ambapo Michael mwenyewe alipata C+, unaweza kumtazama kwenye hii video hapa chini.

New Video: Baghdad Ft One Six – Nipe Namba | Watch and Download

Tizama video mpya ya Baghda inayokwenda kwa jina la Nipe namba kisha tiririsha maoni yako hapo chini.
One Six ameshirikishwa.


Saturday, January 28, 2017

VIDEO: Young Killer Amwomba Msamaha Prodyuza Mona Gangstar, Afafanua Kuhusu Kumpigia Magoti


Young Killer Msodoki amezungumzia ishu ya yeye kumpigia magoti Prodyuza Mona Gangstar kwamba siyo kweli ila ishu ni kwamba alikwenda tu kumwomba msamaha kawaida kutokana na vitu vyao vilivyotokea nje ya kazi na kwamba ameamua kufanya hivyo ili kuingia vyema kwenye mfungo mtukufu.

Msikilize Young Killer hapo chini kwa kubonyeza Play.

VIDEO: FID Q Akanusha Kuhusu Bifu Yake Na Joh Makini


Msanii mkongwe wa muziki wa HipHop Tanzania azungumzia bifu yake na Joh Makini ambayo imeenea mtaani kuwa na kilichoshangaza ni hatua ya Msanii Fid Q kupost Thumbinals za Video ya wimbo mpya wa Joh Makini unaokwenda kwa jina la Waya.

Msikilize Fid Q akifafanua kuhusu taarifa hiyo hapo chini:-

T'Spize ft RunTown - Kilogram | Watch and Download


T’Spize returns with the official video to his single, Kilogram featuring the latest sensation on the music scene, Runtown.
Dope beats will certainly get you grooving.
Directed by Ehison.

 

Majambazi Wawili Wauawa Huku Wauza Shisha Wakiwekwa Chini Ya Ulinzi

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewaua watu wawili wanaodaiwa kuwa ni majambazi na kukamata silaha pamoja na watuhumiwa kadhaa wa matukio ya kihalifu wakiwemo 7 wanaotuhumiwa kutengeneza kadi 7 za bandia za chanjo ya homa ya manjano

Akizungumza na vyombo vya habari, jana Jijini Dar es Salaam, Kamishna wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, CP Simon Sirro alisema, mnamo tarehe 23 mwezi wa kwanza mwaka 2017 majambazi hao walitekeleza tukio la mauaji na kupora kiasi cha shilingi milioni 1 na laki 3 huko Boko Basihaya na polisi iliwasaka na kuwakamata na wakakiri kutenda mauaji hayo na kwamba walipojaribu kutoroka ndipo walipouawa.

Akielezea kukamatwa kwa watu 7 wanaodaiwa kutengeneza kadi bandia za homa ya manjano ambazo mtu hupaswa kuchomwa chanjo hiyo kabla ya kusafiri nje ya nchi, Kamisha Sirro alisema, watu hao wamekuwa wakitoa kadi hizo na kudai fedha nyingi kinyume cha sheria.
Kamanda Sirro akionesha mkasi unaotumiwa na wahalifu kuvunja vitu mbalimbali

Jeshi hilo pia limewakamata watuhumiwa 92 wa makosa mbalimbali, ikiwemo wizi wa magari na pikipiki, watengenezaji wa gongo, shisha na uuzaji wa bangi.

Pia limekusanya zaidi ya Shilingi milioni 918, kwa ukamataji wa makosa ya usalama barabarani katika kipindi cha siku 10.
Kamanda Sirro akionesha magari yaliyokuwa yameibiwa katika maeneo mbalimbali Jijini Dar es Salaam

Friday, January 27, 2017

New Video: Bez ft Yemi Alade - You Suppose To Know | Watch and Download


Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni mshindi wa tuzo Mbadala, anayekwenda kwa jina la Bez, ameachia video yake mpya inayokwenda kwa jina la You Suppose To Know ambayo amemshirikisha mwanadada Yemi Alade.

Video hii ni ya wimbo uliopo kwenye albamu yake inayokwenda kwa jina la 'Gbagyi Mtoto' ambayo imesimamiwa na Prodyuza Cobhams Asuquo.

Tizama video hiyo iliyoongozwa na Clarence Peters.


 

Madee Azungumza Kuhusu Babu Tale Kujitenga na TipTop, Fahamu Kuhusu Diamond Platnumz Kuhusuka Nao


Msanii anayefanya vizuri na ngoma inayokwenda kwa jina Hela, Madee amesema kuwa hajui lolote kuhusu wanaosema kuwa Meneja wa Tip Top "Babu Tale" amekuwa akiegemea sana katika kusapoti mziki wa WCB na kuwasahau kina Tunda, yeye mwenyewe Madee na Dogo Janja.

Akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio Madee amesema kuwa kwa sasa anaangalia zaidi muziki wake na wa dogo Janja, na kwamba kundi la TipTop bado lipo na kuna mambo mengi ambayo yanakuja katika kundi hilo.

Aidha Madee alipoulizwa kuhusu ujio wa ngoma ya wasanii wote wa TipTop ameeleza kuwa ipo ngoma waliyoifanya na Diamond Platnumz ambayo bado hawajaiachia mpaka ngoma za kila mmoja kufanya vizuri ndipo wataangalia kama kuna uwezekano wa kuiachia.


New Video: Dayna Nyange ft Bill Nas - Komela | Watch and Download

Audio yake imekaa kwa muda mrefu kidogo na huenda tukawa tulisahau kabisa habari za video, lakini mwanadada Dayna Nyange ameamua kukata kiu ya hamu ya kuitizama video yake ya Komela aliyoifanya na msanii Bill Nas.

Karibu kuitizama hapa chini kisha maoni yako ni muhimu kuyaweka.


 

Kurasa Za Magazeti: Januari 28, 2017

Magazeti ya Tanzania kama JamboLeo, Mwananchi, Risasi, Nipashe, HabariLeo yana habari kem kem kwaajili yako.

Karibu kupitia kisha uache maoni yako. 

Kwa msaada wa MillardAyo .

New Video: Linah - Kosa Sina | Watch and Download

Mwanadada Linah ameamua kuachia video ya wimbo wake wa Kosa sina, Karibu kuitizama kisha uache maoni yako pale chini.


 

Jicho la mchezaji latoka akiwa uwanjani

Mchezaji wa mpira wa kikapu nchini New Zealand Akil Mitchell amesema anapata nafuu baada ya jicho lake kutoka alipokuwa uwanjani akicheza.
Mitchell huchezea klabu ya New Zealand Breakers, na alikuwa mjini Auckland kucheza mechi ya NBL ya Australia Alhamisi usiku kisa hicho kilipotokea.
Mchezaji wa timu pinzani aliingiza kimakosa kidole ndani ya tundu la kishimo cha jicho na ghafla jicho lake likatoka nje.
Mchezaji huyo mzaliwa wa Marekani alianguka sakafuni akiwa ametumia mikono yake kufunika jicho lake la kushoto na akakimbizwa hospitalini.
"Kwa viganja vya mkono wangu, nilihisi mboni ya jicho ikiwa nje na kukaa upande mmoja wa uso," aliambia Radio Sport ya New Zealand.
"Bado jicho hilo lilikuwa linaona."
"Nakumbuka nikifikiria, bwana we ... hii ni hali mbaya, lakini nilihisi kwamba lilikuwa jambo la kushangaza na hapo ndipo niliingiwa na wasiwasi kiasi."
Mchezaji huyo wa miaka 24 anasema anakumbuka kusikia mashabiki na wachezaji wake wakiingiwa na wasiwasi.
Alidhani hangeweza kuona tena na kwamba uchezaji wake ulikuwa umefikia kikomo.
"Nilipoingizwa kwenye gari la kubeba wagonjwa walinipa dawa za kupunguza maumivu na matoneo kadha ya dawa yenye chumvi machoni na nikasakia mboni ya jicho ikirudi ndani, jambo ambalo pia lilikuwa la ajabu."
"Najihisi mwenye furaha sana kuweza kufunga na kufungua macho tena, ni jambo la kushangaza."
Baada ya kuruhusiwa kuondoka hospitalini Alhamisi, aliandika kwenye Twitter kwamba "najihisi vyema" na akatumia picha za vibonzo maarufu kama emoji za mboni za jicho.
Mchezaji huyo kutoka jimbo la North Carolina, Marekani anatarajiwa kupona kabisa na huenda akarejea uwanjani kucheza hivi karibuni.
Tweet saying

Mourinho: Sita mruhusu Rooney kujiunga ligi ya China


Kocha wa klabu ya Manchester United, Jose Mourinho amefunguka kuwa atamzuia nahodha wa timu hiyo Wayne Rooney endapo atataka kwenda kucheza katika ligi ya China.
Akiongea na waandishi wa habari Alhamisi hii kabla ya mchezo wao wa kombe la ligi dhidi ya Hull City, Mourinho alisema hata yaunga mkono mawazo ya mchezaji huyo endapo akifikiria kujiunga na ligi hiyo ambayo kwa sasa imeonekaa kuwavutia wachezaji wengi kutokana na fedha wanayolipwa nchini humo.
“Hii ni endapo tu mchezaji huyo ataona kuwa ana sababu ya kufanya hivyo na kuamua kuondoka United ni sawa,” amesema Mourinho.

New Audio: Meda Ft Timbulo – Sidhani | Mp3 Listen and Download

Video ya wimbo huu unaokwenda kwa jina la Sidhani imeonyesha uelekeo mzuri mara baada ya waatazamaji kuongezeka kila baada ya dakika kadhaa, Siyo mbaya ukapata audio ya wimbo huu ambao umeimbwa na msanii Meda Classic akimshirikisha Timbulo.

Enjoy!

https://my.notjustok.com/track/download/id/175581

New Video: Ice Boy Ft Nandy - Binadamu | Watch and Download

Baada ya kufanya vizuri na wimbo wa Thamani Yagnu msanii Ice Boy ameamua kutuletea video yake mpya lnayokwenda kwa jina la Binadamu aliyomshirikisha mwanadada Nandy.
Tizama kisha uache maoni yako.


 

Geita: Watu 14 wafukiwa na kifusi mgodini


Watu kumi na nne wamefukiwa na udongo Alhamisi hii baada ya mgodi mmoja kuporomoka katika mkoa wa Geita, walipokuwa wakiendelea na uchimbaji wa madini.
Watu hao ni raia 13 Watanzania na raia mmoja wa China. Tukio hilo limetokea saa 9 usiku leo (jana) wakati wachimbaji hao wakiendelea na shughuli ya uchimbaji katika mgodi wa RZ unaomilikiwa na wachina.
Mkuu wa Mkoa wa Geita, Ezekiel Kyunga ametembelea eneo la tukio na kuona shughuli za uokozi zikiendelea na kuagiza nguvu ziongezwe.
Inaelezwa kuwa udongo umeporomoka kutokana na mgodi kuchimbwa zamani na Wajerumani hivyo kusababisha baadhi ya maeneo hayo kuwa na nyufa na vyuma kushindwa kushikilia udongo wa juu hali ambayo imesababisha kuzidiwa na hatimaye kuporomoka.
Kamisha msaidizi wa madini kanda ya ziwa victoria Mhandisi Yahaya Samamba amesema jitihada zilizofanyika ni kuwasiliana na migodi iliyopo karibu na eneo hilo pia wameomba msaada kutoka Kahama na kwenye mgodi wa GGM kupatiwa vifaa vya uokoaji ili zoezi hilo liweze kufanikiwa.
“Jitihada ambazo tumezifanya hadi sasa tumeomba msaada Kahama na kwenye mgodi wa Geita,kupatiwa vifaa ambavyo vitasaidia kwa wepesi zoezi hili la uokoaji ingawa tumeshapata vifaa vingine kutoka kwenye mgodi wa Busolwa”,alisema Samamba.
Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na uokoaji mkoa wa Geita Elisa Mugisha amesema eneo la chini ambalo limefukiwa na udongo ndiyo ambalo sasa wanaendelea kulitanua ili sehemu hiyo iwe kubwa watu waweze kupita.
“Eneo lote lile la chini limefukiwa na udongo lakini kule chini kunaonekana kuna sehemu za kwenda pembeni ingawa limefukiwa lakini chini kuna uimara kuna uwezekano kule chini wale watu wapo hai na wamepelekewa mipira ya hewa na kazi inayofanyika ni kutanua eneo ambalo litasaidia kuwatoa watu hao”,amesema.
Mwanasheria na msemaji wa kampuni ya uchimbaji dhahabu ya RZ Frances Kiganga ameelezea kuwa chanzo kikubwa ni mashimo ya zamani kwani udongo unapotikisika umekuwa ukisababisha baadhi ya nyufa kuendelea kupata shida.

New Audio: Eddy Kenzo ft. Alaine – Addicted | Mp3 Listen and Download

Karibu kusikiliza wimbo mpya wa Eddy Kenzo akimshirikisha mwanadada Alaine unaokwenda kwa jina la Addicted.

https://my.notjustok.com/track/download/id/175520/by/78a~yk_btQ

Rais Adam Barrow arudi Gambia kuliongoza taifa lake


Rais mpya wa Gambia Adama Barrow, amewasili nchini humo kuchukua hatamu za uongozi, kufuatia kuondoka madarakani kwa rais wa mda mrefu Yahya Jammeh
Barrow aliapishwa wiki iliyopita nchini Senegal wakati viongozi wa kieneo walipokuwa wakimshawishi Jammeh kuondoka madarakani.
Maelfu ya watu walifurika katika barabara za mji mkuu wa Gambia Banjul kumlaki rais huyo mpya.
Taarifa zinasema Barrow atakaa katika makaazi yake wakati ukaguzi ukifanywa katika ikulu kutambua hatari yoyote kufuatia kuondoka kwa Yahya Jammeh kwenda uhamishoni Guinea ya Ikweta.
Maelfu kadhaa ya wanajeshi wa mataifa ya Afrika magharibi wanasalia Gambia wakati kukiwa na taarifa kuwa wafuasi waovu wa Jammeh wamo miongoni mwa vikosi vya usalama nchini.

New Video: Meda Ft Timbulo – Sidhani | Watch and Download

Kutoka mkoani Iringa alikozaliwa mpaka Bongo Dar Es Salaam, anaitwa Meda Classic hii ni video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Sidhani aliomshirikisha Timbulo.

Tizama Kisha acha maoni yako.

 

New Video: Joh Makini - Waya | Watch and Download

Kutoka katika kampuni ya Weusi anaitwa Joh Makini, amekamilisha kuifanya video ya wimbo wake wa Waya ambao ulifanyika kwa Lufa pale Switcher Records, na video ndiyo hiyo hapo chini.

Tizama na pakua kisha acha maoni yako pale chini.



 

Wednesday, January 25, 2017

New Video: Madee - Hela





T.I. Snaps On Dude Who Grabbed His Butt As He Performed "Whatever You Like"

Image result for T.I. Snaps
T.I.’s 2008 Billboard No. 1 hit, “Whatever You Like,” remains one of his most recognizable tunes, especially among his female fan base. But one male concertgoer apparently couldn’t contain himself during the catchy single’s euphoria and was met with a sharp warning by the song’s creator.
Troubleman31 was out in Winnipeg, Manitoba for his Us Or Else Canada Tour at the Burton Cummings Theatre on Sunday (January 22) and when he was midway through an intimate performance of “Whatever You Like,” he felt an unsolicited hand grab him by the rear end. Much to his surprise, he noticed it was a male’s hand.
Befuddled, T.I. proceeded to cease all performance measures of his sanctioned appearance and reprimanded the young man, explicating that he did not appreciate the violation of his primitive limb encroaching on his gluteus maximus (say it like Tip!).
“Don’t you ever put your hands on my muthafuckin’ ass again, bro” a furious T.I. said to the male fan’s face. “What the fuck wrong with you, my nigga? I’ll fuck you up. Don’t you ever touch my muthafuckin’ ass again!”
And then, he said it into the mic so the entire crowd would know that it’s real.
“Hey look man, no bullshit. If you ever put your muthafuckin’ hand on my ass again, I’ll beat yo muthafuckin’ ass. Real talk, I came out to have a good time but I ain’t with the disrespect. Real talk. I won’t never go back to that bro.”
After he got that off his chest, Tip told his DJ to restart the record and performed it again — on the other side of the stage.
It was the same fiery passion the 36-year-old rap star put on display late last week when he penned an open letter to “the system” President Donald Trump now operates.
He also shared a more favorable clip of his time in Winnipeg, which can be seen below.

New Audio: Navy Kenzo - Morning




Rapa wa kwanza TZ kufikisha views milioni 1 YouTube kupitia wimbo ‘Jinsi ya Kumfikisha Mpenzi’ afunguka

Artist of hip hop in Tanzania, ambition Mponda who allegedly was the Saani first the music to convey views 1 million YouTube through song 'How to bring Boyfriend' afunguka about his music video for the song you came from 3 September 2014 within one year was able to deliver one million views with stakeholders things claiming the situation caused by the type of song.

Speaking during the 3600 Taste of EFM Tuesday, the rapper explained something that interested fans in the song.

"How to bring partner is the first dance East Africa conveying Viewers one million within one year and two months," said mission. "I think this song is doing well due to the messages and video, is also a beautiful song that everyone listen to can find something, "

At some point the rapper spoke of how artists of hip hop can change and do things that can be claimed smooth abduct more fans.

"People want something easy that even a small child sings, changes are needed in order to arrive are where they need example my song of Astara Vaste has given me Collabo large've done Collabo Congolese who signed with Rock Nation, who has worked well with Yemi Alade, but also I have done with a Nigerian who lives Uk" said the rapper.

He added, "People will expect much more of my original video had no preparation except for now I am preparing, my video Astara Vaste iliyogharimu preparation has cost 3,000 dollars,"

Source: Bongo5