Friday, January 27, 2017

New Video: Bez ft Yemi Alade - You Suppose To Know | Watch and Download


Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni mshindi wa tuzo Mbadala, anayekwenda kwa jina la Bez, ameachia video yake mpya inayokwenda kwa jina la You Suppose To Know ambayo amemshirikisha mwanadada Yemi Alade.

Video hii ni ya wimbo uliopo kwenye albamu yake inayokwenda kwa jina la 'Gbagyi Mtoto' ambayo imesimamiwa na Prodyuza Cobhams Asuquo.

Tizama video hiyo iliyoongozwa na Clarence Peters.


 

No comments:

Post a Comment