Showing posts with label Nigeria music video. Show all posts
Showing posts with label Nigeria music video. Show all posts
Friday, February 3, 2017
Saturday, January 28, 2017
T'Spize ft RunTown - Kilogram | Watch and Download
T’Spize returns with the official video to his single, Kilogram featuring the latest sensation on the music scene, Runtown.
Dope beats will certainly get you grooving.
Directed by Ehison.
Dope beats will certainly get you grooving.
Directed by Ehison.
Friday, January 27, 2017
New Video: Bez ft Yemi Alade - You Suppose To Know | Watch and Download
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni mshindi wa tuzo Mbadala, anayekwenda kwa jina la Bez, ameachia video yake mpya inayokwenda kwa jina la You Suppose To Know ambayo amemshirikisha mwanadada Yemi Alade.
Video hii ni ya wimbo uliopo kwenye albamu yake inayokwenda kwa jina la 'Gbagyi Mtoto' ambayo imesimamiwa na Prodyuza Cobhams Asuquo.
Tizama video hiyo iliyoongozwa na Clarence Peters.
Tuesday, October 11, 2016
New Music Video: Phyno - Pino Pino | Watch and Download Mp4
Karibu kutizama video mpya ya Phyno ambapo siku mbili tu tumeisikia audio yake ya Pino Pino.Tizama na acha maoni yako pale chini.
Sunday, October 9, 2016
New Music Video: Fals, Tekno, Skales - 406 Na Code | Watch and Download Mp4
Tizama wimbo mpya wa video kutoka Nigeria, jamaa anaitwa Falz yupo na Tekno na Skales, wimbo unaitwa 406 Na The Code
Subscribe to:
Posts (Atom)






