Wednesday, February 1, 2017

Mwaka Umeanza Vizuri Kwa Pharrell Williams Kwa Kupata Mapacha Watatu


Watoto hao wamezaliwa mapema mwezi wa January, kwa mujibu wa ripoti ya Vanity Fair. “Pharrell, Helen and Rocket Williams have welcomed triplets. The family is happy and healthy!” alisema msemaji wa mwanamuziki huyo.
Hakuna taarifa za jinsia na majina ya watoto hao zilizotolewa. Williams na Lasichanh, waliofunga ndoa October 2013, tayari wa mtoto wa kiume mwenye miaka minane aitwaye, Rocket Ayer.
Lasichanh, mlimbwende na mbunifu wa mitindo na Williams, 43, walikuwa pamoja kwa miaka mingi kabla ya kufunga ndoa.

No comments:

Post a Comment