Sunday, July 17, 2016

Tunza mazingira


Hakuna kitu kizuri kama kuishi katika mazingira mazuri, lakini pia huleta afya kuishi katika mzingila shafi na salama, wakaiti mwingine tunahitaji
furaha, afya, mapumziko katika usafi wa hali ya juu, hatahivyo huwa hatufikii kiwango kinacho takikana kutokana na mazingira tunamo ishi .
hivyo mgonanzi anajitahidi kukufanya uwe na afya njema na mapumziko yenye furaha katika gardeni ya manispaa ya iringa katika  mwonekano mzuri wa mazingira 
mawasiliano : 0769 317146

No comments:

Post a Comment