Tuesday, July 26, 2016

Baada ya Justibe Bieber kukataa kucheza filamu ya Uber Girl, huenda akakutanishwa na Selena Gomez

Msanii wa kiume mwenye umri mdogo kiasi chake, Justin Bieber amepewa ofa ya kucheza kama staa wa pop kwenye filamu ya Hollywood iitwayo ‘Uber Girl’ lakini ameikataa, na kusema labda labda kama ikirekebishwa.
“Hawezi kushiriki labda kama sehemu za mapenzi anazotakiwa kuigiza na mmoja wa dancers wake ikitolewa,” mwandishi mwenza wa filamu hiyo Pete O’Neill ameuambia mtandao wa Page Six.
O’Neill amedai kuwa anataka pia kuwashirikisha mastaa wengine wakiwemo Selena Gomez na Ariana Grande.

No comments:

Post a Comment