Showing posts with label Bongoflava Music Mp3. Show all posts
Showing posts with label Bongoflava Music Mp3. Show all posts

Saturday, February 4, 2017

New Audio Download : Beatrice Mwaipaja - Umenichagua

Listen New Gospel song from famous artist in Tanzania Martha Mwaipaja, the song is going for the name Umenichagua.

Listen and Download then drop your comments....


Friday, January 27, 2017

New Audio: Meda Ft Timbulo – Sidhani | Mp3 Listen and Download

Video ya wimbo huu unaokwenda kwa jina la Sidhani imeonyesha uelekeo mzuri mara baada ya waatazamaji kuongezeka kila baada ya dakika kadhaa, Siyo mbaya ukapata audio ya wimbo huu ambao umeimbwa na msanii Meda Classic akimshirikisha Timbulo.

Enjoy!

https://my.notjustok.com/track/download/id/175581

Monday, October 10, 2016

New Music Audio: Linah - Kosa Sina | Listen and Download Mp3


Msanii Linah ameachia audio mpya inaitwa Kosa sina ambapo Emma The Boy ndio kahusika kwenye kuipika.Karibu kuisikiliza......................

Sunday, October 9, 2016

New Music Audio: Matonya - Sugua Benchi | Listen and Download Mp3

Kati ya wasanii waliofanya vizuri kipindi fulani cha nyuma ni Matonya ambaye hapa katikati tunaona alikua kimya. Matonya amerudi na huu wimbo unaitwa Sugua Benchi, tuusikilize na tutoe maoni yetu.........

Friday, October 7, 2016

New Music Audio: Maromboso - Nitulize | Listen and Download Mp3

Msanii kutoka kundi la Mkubwa na wanawe wakisimamiwa na Mkubwa Fella, Maromboso, ameachia wimbo wake mpya unaoitwa Nitulize.

Sikiliza na pakua kisha useme lolote............

New Music Audio: Mwasiti ft Lady Jaydee - Wito | Listen and Download Mp3

Tumezisikia nyimbo kadhaa kutoka kwa msanii Mwasity Almasi ikiwemo ile ya Unaniangalia, safari hii ameamua kumshirikisha binti machozi komando Jide na wanatuletea wimbo unaokwenda kwa jina la Wito.

Sikiliza kisha uache maoni yako pale chini....

New Music Audio: Vanessa Mdee & Jux – Juu | Listen and Download Mp3

 
Couples from Bongoflava Music Vanessa Mdee and Jux they show us that they fine in love for dropping good music called Juu.

Producer is Lufa from Switch Records.

Enjoy...........!

DOWNLOAD MP3 HERE

New Music Audio: Trubadour George ft Dullayo & Chindo Man – RIP (Rest In Public) | Listen and Download Mp3New Music Audio: Trubadour George ft Dullayo & Chindo Man – RIP (Rest In Public) | Listen and Download Mp3



Thursday, July 28, 2016

Wednesday, July 27, 2016

New Music Audio: Professor Jay ft Sholo Mwamba - Kazi Kazi | Listen and Download Free

Akiwa ni mwanasiasa kwa sasa lakini kwa kuwa Jasiri haachi asili, msanii Professor Jay ameamua kuendelea kutupa ladha.
Safari hii amemtafuta jamaa ambaye ni mtaalamu wa nyimbo za Singeli, Sholo Mwamba na wametuletea wimbo unaokwenda kwa jina la Kazi Kazi...

Sikiliza na kisha uache maoni yako pale chini kuhusu wimbo huu.

Tuesday, July 26, 2016

New Music Audio: Kala Jeremiah ft Miriam Chirwa - Wana Ndoto | Listen and Download Free


Kupitia Redio na Tv msanii wa muziki wa kizazi kipya kwenye miondoko ya HipHop Kala Jeremiah aliahidi kutuletea wimbo mpya aliyomshirikisha mtoto ambaye tumezoea kumsikia kwenye nyimbo za dini Miriam Chirwa, Sasa ahadi ya Kala imekamilika na tayari wimbo huo hapo chini unaitwa Wana Ndoto.

Sikiliza na sema lolote kwa kuacha maoni yako pale chini...

New Music Audio: Mo Music - Ado Ado | Listen and Download Free

Mo Music amerudi tena na wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Ado Ado ambao ameufanyia studio za High Table Sound na Producer akiwa ni Deey Classic.

Baada ya kusikiliza utaacha maoni yako pale chini...