Monday, October 10, 2016

Rooney kutaraji kukosekana kwenye mechi mkewe hajapenda na katweet kitu!

Jina la nahodha wa timu ya taifa ya England na klabu ya Man United Wayne Rooney linazidi kukaa kwenye headines kila kukicha, Rooney amerudi kwenye headlines kwa mara nyingine tena baada ya mke wake Coleen Rooney kuoneshwa hisia zake za kusikitishwa kuzomewa mmewe katika mchezo dhidi ya Malta.
Rooney kwa sasa anaonekana kukutana na wakati mgumu katika soka lake baada ya kuonekana na kuanza kukosa nafasi ya kuanza kikosi cha kwanza chini ya kocha Jose Mourinho kwa mechi 3 zilizopita, kitendo cha kuzomewa kwa nahodha siku ya Jumamosi katika mchezo dhidi Malta Wembley hakikumfurahisha mkewe Coleen Rooney.

tweet ya mkewe Rooney imekuja leo ikiwa yameanza maneno ya kuwa Rooney atakosekana katika mchezo wa kesho dhidi ya Slovenia.

Mkewe Rooney katweet:-
“Mechi kama ya kesho na una mtoto wa kiume ana miaka sita halafu awepo uwanjani anaangalia baba yake akizomewa, hilo sio sawa kiukweli” 
dfghjkl

No comments:

Post a Comment