The message socialite sent on unveiling her new car a Range Rover which she says is a gift from God but we all know all humans are made on God’s image so its probably a gift from another human being but again that’s not important. The hot lass flaunted her new machine sarcastically attacking those who’ve been hating on her while at it.
Showing posts with label Instagram Updates. Show all posts
Showing posts with label Instagram Updates. Show all posts
Sunday, November 20, 2016
Tuesday, October 11, 2016
Video mpya ya mauno ya Giggy Money ni shidaaaa......!
Kama ni viuno basi mrembo Giggy Money anavionyesha kweli kweli, hii ni video mpya ya Giggy Money akitikisa makalio yake pembeni ya Bahari,...
Monday, October 10, 2016
Video: Young Killer kawapa kolabo Fid Q na Stamina, Tizama Video wakiwa studio!
Msanii wa Hiphop Tanzania mwenye umri mdogo, Young Killer Msodoki ameamua kutujulisha ujio wake mpya wa ngoma ambayo amewashirikisha rapper Stamina na Fid Q.
Kupitia ukurasa wa Instagram, Young Killer ameposti ujio wa kazi yake mpya akiwa studio na rapper Stamina pamoja na Fid Q kama inavyoonekana kwenye video hapo chini>>>>>
A video posted by M S O D O K I (@youngkillermsodokii) on
Sunday, October 9, 2016
Baada ya Stan Bakora kuigiza weusi wa baraka kwenye Nisamehe, Baraka kayanena haya...!

Kama utakuwa umetizama video ya Nisamehe ya Stan Bakora ambayo amefanya Cover ya Baraka Da Prince na Alikiba utakua umeona utani wa rangi ya baraka ulivyowakilishwa na mchekeshaji huyu kwa kujipaka vitu vyeusi usoni.
Sasa kupitia ukurasa wake wa Instagram Baraka ameandika ‘Matani ni mazuri ila yakizidi yanaweza kuleta matatizo… heshima ichukue nafasi yake tafadhali mzee utani huu sijaupenda iwe mwanzo na mwisho tafadhali‘
Alipost picha na maneno kama inavyoonekana hapa chini............
A photo posted by BarakahThePrince (@barakahtheprince_) on
Saturday, October 8, 2016
Amber Lulu ammwagia matusi Giggy Money, Young Dee anahusika!
Baada ya mapema wiki hii kuenea kwa taarifa za kukamatwa kwa model Amber Lulu akiwa na madawa ya kulevya huko mkoani Arusha akijiandaa kwenda nchini China kupitia Nairobi – video vixen hao wameanza kuwashiana moto.
Amber anadaiwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na rapper Young Dee ameibuka na kuanza kumwagia matusi Giggy Money ambaye aliongea kwenye U-Heard ya Clouds FM na kutoa taarifa hizo za kukamatwa kwake na polisi.
“Muda ambao unahangaika kutafuta kiki ungekuwa unajifunza kuosha k na kutibu hizo fangasi suguu ulizo nazo @gigy_money don’t compare with me iz levels chokoraaaa paka la ambiance stay away from me,” ameandika Amber Lulu kwenye mtandao huo.
Mpaka sasa Giggy hajajibu lolote juu ya ujumbe huo wa matusi aliotumiwa. Amber ameshaonekana kwenye video kadhaa ikiwemo ‘Too Much’ ya Darassa, ‘Inde’ ya Dully Sykes na nyingine.
Vanessa Mdee kakubali kupanda jukwaa la show ya Chris Brown Mombasa...

Jana kulikuwa na taarifa za mwimbaji wa Bongoflava Vanessa Mdee 'Vee Money' kukacha show ya Chris Brown huko Mombasa, na kwa upande wa waandaji wa Mombasa Rocks Music Festival walisikitishwa sana na taarifa hizi.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Vanessa ameandika haya:-

Muimbaji huyo amekubali kupanda jukwaani kutumbuiza Jumamosi hii, na shukrani ziende kwa gavana wa Mombasa Ali Hassan Joho ambaye ndiye aliyefanya ushwawishi
Waandaaji wamechapisha taarifa hii hapa chini:-
Vanessa Mdee Management announces that the Tanzanian songstress, Vanessa Mdee (Vee Money), will be performing at the anticipated Mombasa Rocks Music Festival (Saturday, 8th October), alongside Chris Brown and Wizkid in Kenya, Mombasa.
Contrary to previous reports highlighting disagreement between her and the festival’s management, Vanessa Mdee management would like to now confirm that both parties have reached an understanding thanks to Mombasa Governor Ali Hassan Joho’s involvement.
Ahead of her anticipated arrival and performance in Kenya, Vanessa Mdee says, “Calling out all the Vee Money fans around East Africa, Kenya and Mombasa to come dance to their favourite hits like “Niroge” and “Hawajui”. I am very excited to be performing in Mombasa for the first time! It will be special for my fans!”.\
Kwenye show hiyo wasanii wengine watakaotumbuiza ni pamoja na Wizkid, Alikiba, Navio na Nazizi.
Tuesday, July 12, 2016
Shilole aka Shishibaby Stuns on new Photos
Hitmaker of 'say ma name' shilole has been in taking pics of herself showing her $exy body since after the end of Holy Month of Ramadan, without thinking what should learn from Ramadan, Recently, Shilole on her Instagram account has shared pics flaunting her thighs, she looks so $exy
Monday, June 27, 2016
See singer's 1st picture of Diamond Platnumz with his daughter
The picture was shared via Tiffah's Instagram account today, and it shows the hit singer holding his daughter's hand and smiling lovingly at her.
Hot Pictures : Wema Sepetu Posted on Instagram
Wema Sepetu Instagram;In the process of hooking and dumping, Tanzania super star actress didn’t play it smart since some of her photos have leaked to the public that she posted on Wema Sepetu's Instagram.

NEWS: how famous Tanzania model Gigy money showed herself in Instagram (pictures 18+)
VANESSA MDEE & IDRISS SULTAN GET VERIFIED ON THEIR INSTAGRAM ACCOUNTS
Muimbaji wa kike Vanessa Mdee anayezidi kupanda kwa kasi pamoja na Our very own comedian Idris Sultan wamepata katiki cha Instagram
..yaani wamekuwa verified. Wengi wanauliza kama it is a big deal..Yes it is kwasababu inamaanisha kuwa unatambulika kidunia na it does not matter una followers wangapi.
Watanzania wengine waliokuwa verified ni Diamond Platnumz na Flaviana Matata aliyekuwa wa kwanza kupata katiki
Zari na Wema Sepetu watukanana Instagram, soma walivyovuana nguo!
Vita vikali vya maneno vimezuka Instagram kati ya Zari the Bosslady na Wema Sepetu. Vita hivyo vilianza baada ya kile kinachoonekana kuwa ni maneno kutoka kwa kambi ya Wema Sepetu kwenda kwa Mama Tiffah.
Zari aliamua kutoa ya moyoni kwa kuweka comment kwenye post yake mwenyewe baada ya matusi kutoka kwa kambi ya Wema kuzidi.
“Fake cars, fake houses, fake men, fake everything but they are here to judge.. yall look like just had a fight with a tiger,” aliandika Zari.
“We feel your pain Dee is a loving man. I know what you u missing but guess what, I gat it all by myself. Sent to hell on a one way ticket buried 6ft under #Kasepa #HeIsHappyNow,” aliongeza.
Wema aliamua kutokaa kimya, naye alijibu mapigo.
“Damn, she really got da energy,” aliandika.
“Mi siwezi jamani mambo haya. Kaka kajua kumchanganya dada. Sasa kama kachanganyikiwa si yeye. Mi ningejua kuwa kuna siku nitakuja kummiss kaka nisingemwacha. Akumbuke hilo kwanza. Halafu kingine, hivi mimi ni mwanamke pekee niliyewahi kuwa na kaka au?”
“Maana wenzangu naona hawatajwi ni Wemaa tu. Kuna kitu dada anakitafuta kwangu jamani. Sasa dada kama atasoma hapa ajue this is 2016, afanye mabadiliko basi maana tokea 2014 ana mimi tu, 2015 ana mimi tu na 2016 pia! Baby hujachoka tu bado? Nimejibu kwa mara ya kwanza maana naona umekuwa ukinitafuta muda mrefu mno. Mi maneno kama hayo yako sijui fake nini sinaga. But just if u read this honey, please nitoe kwenye ramani yenu. I no longer live there. And kuhusu kuwa fake, mi nishakubali na fake life yangu ila ningeomba utuwekee DNA ya Baby Tee kwanza. Pumbavu.”
Zari aliusoma ujumbe huo, akajibu:
“Ati DNA for what let her start na DNA ya Swiss then atupe ultrasound kisha ampime mtoto wake then she can ask for Tiffah’s. Hujawahi kuingia labour at unaomba DNA. Wachana na mambo ya wazazi. Endelea kugawa that’s the only thing you can manage. Mtoto wangu asikupe stress don’t beef with a baby, find you levels, Tiffah level nyingine# BabyBoss.”
Wema alituliza mizuka kwa kuandika post: Mama Taught me well…!! Kugombana na mtu mzima ni kukosa adabu…. Sijafunzwa hivyo…!”
Subscribe to:
Posts (Atom)












