Showing posts with label Gospel Music Video. Show all posts
Showing posts with label Gospel Music Video. Show all posts

Tuesday, October 11, 2016

New Music Video: Beatrice Mwaipaja – Tutafika Salama | Watch and Download Mp4


Msanii wa muziki wa Injili kutoka Tanzania anataka kutubamba zaidi kwenye muziki wake kwa huu wimbo wake mpya wa video unaokwenda kwa jina la Tutafika Salama.
Video imetayarishwa na Blessing Studios na kuongozwa na Jackson Joachim.


New Music Video: Masanja Mkandamizaji - Moyo Mweupe | Watch and Download Mp4


Masanja Mkandamizaji ambaye ni msanii wa kuchekesha lakini ni mwanamuziki wa nyimbo za dunia na Injili, anatualika kutizama video ya wimbo wake mpya wa Moyo Mweupe.
Karibu kutizama na kisha uache maoni yako.